My First Experience with weed

My First Experience with weed​:smiling_face::smiling_face::smiling_face:

It was those many years ago when moi was a kijana and the kanu Njogoo ilikua ikimea pembe. Only two chama was there. Kanu☝ na ya vidole mbiri✌

Back to the hekaya. So this day ilikua sato na kama kawaida mum akatugawanyia kila mtu job yake, mi nkapewa ya kukatia ng’ombe nyasi kwa msitu. Si mnajua kawaida ya boys kufanya kazi chap chap ndio apate time ya kweda ku swim kwa mto na vijana wenzake. Nkapitia kwa samba la kahawa kwa jirani ndio nivuke ngambo ile ingine kwa msitu nkakate majani mbio mbio. Ata kabla sijafika ‘ngurumo’ (huko chini kwa nduma) nkapa nyasi imemea kwa madizi na ilikua very green though majani yake nikama ya micege lakini hii ni kubwa. Nkafanya hesabu yangu chap chap. Nkachuna nkaweka kwa ngunia na nkatafta ingine nkajazia ngunia nka home.

Kama kawainda nikachukua kasambuni na kangunia ka kuoga nkatia kwa mfuko. (Hio ilikua niya kujipaka alafu unaruka kwa mto)after kuangusa ngunia karibu na shed (kiugu)

Mimi huo mpaka kwa jirani tukachukuana na vijana wenzangu. On our way tukapatana na budangu and the first thing kuniuliza ni “umekata nyasi wewe kana ni mururo???” nmemaliza dad ata iko hapo na ngunia. Ebu rudi uwekee ng’ombe kabla uende, na hio itabaki umwage hapo chini ichomwe na jua. Nlirudi nkafanya ivo na kurudi ku join ma boys.

Jioni kurudi naskia harufu ya nyama kwa umbali nasidwa kwani baba amelipwa bonathi ya kahawa. Kufika homestead naona wazee wengine wakiwa wamesika nyama ya ngombe wakielekea kwao. Kumbe ile majani nliopatia ngombe ilikua ya bangi na mimi sijui. Dad alienda kukamua ngombe lunch time eti ikaruka kama imeskia thithi ikangoma mabati ya joku alafu ikaruka kwa shed kafa farasi na kukimbia kimbia huko home ikihalibu mahidi na migomba ya ndizi. Katika iyo process ikagonga mti wa ovacado ikithani ni mgomba wa ndizi kichwa ikapasuka ikanguka. Buda kujaribu kuifanyia first aid akaona ni wana. Mzee jirani akamwambia aichije haiwezi tomboa. Thas how our only nguno gone.

Jioni dio dad aliniuliza kwani hio majani ulipatia ilikua na magurukia. Nkasema apana but kuna majani nlichuna kwa shamba ya jirani kwa madizi na ilikua inakaa micege. Hapo hapo dad akatoka na torch kuangalia ile majani ilibaki. Kile nliskia tukiwa kwa nyumba ni "aki wewe Muchatha!!! Dagukora kuu niukunyona!!! Nouhe ngombe fangi!!.
Mi nlitoka mbio ofcorse huwezi ngojea hatari. Nkiwa nmejificha hapo inje nkaona dad ameingia kwa nyumba na majani kwa mkono akawekerea mwa meza akambia mum “ine muruguo aheire ngombe fangi” mi kuchungulia nkaona ni ile majani nlichuna kwa madizi ya jirani.

Now the following day story zilikua zimefika kijiji mzima. Watu wakitoka church walikua wakionge tu hio story.

Now my second experience with it its how i pick it after kuchochwa na maboy kwa classs nkaeda nayo chuo. Hio ni hekaya ya siku ingine day coz i was given my FIRST G at class 4

:D:D

Wrong title, ungesema … our ngombe’s first experience with fanghi

Bado unavuta fangi?

:smiley:
Utter madness. Nimepasua peke yangu kaa mtu amevuruta fangi

Ati mzee alijaribu kupea ng’ombe first aid?

Cheza chini… ni ng’ombe inaongea

Mblo wacha kiherehere,haujawahi skia mtu akiuza ngombe kupeleka ngombe ingine shule…

matako wewe!!!

Sawa wakUMBWA …

:D:D:D

Hata mzee nayeye ngombe ishapasuka kichwa na he goes ahead kuifanyia first aid.
Heri angeikamua mbio mbio kabla ikufe. :smiley:

Wangocho = Muchatha wa klist.
Leta part 2

:D:D:D:D you are one crazy sob, but you are alright, :D:D:D:D nimeseka Sana.

Mimi nimefurahia Kiswahili tu. Tamu kama sukari

The cow had fangi not you

Your story was drafted under fangi influence. Alaf, hiyo ng’ombe discussed in your hekaya ni wewe tu ama?

Makosa ni anaji-identify as the cow

:D:D:D I like the part where mtoto akikosea ndio anakuanga wa mathe

Muchatha is that you masquerading as @wangocho ?