My long term friend amegeuka mlevi

It’s 8 yrs since I got to know brayoo, before he was a good church going young man … I remember the 1st day he accompanied us to a pub , he just tasted the beer an said it tasted awful…

2yrs later he had started drinking more than us , his hustle is well paying since he is an entertainer operating his own entertainment company yani MC services n PA…

Per weekend the dude could make upto kshs 40k , we no longer became close he started hanging out with rich boys partying n drinking the whole night .

Anytime we meet he would tell me how he met who n who in the club n got a certain job , but looking at him he was totally lost in the pombe world…

Come 2020 , there were no gigs coz of the Corona pedimic , his fwds have distanced him , he has sold most of his music machines, landlord amemukimbiza mbaya , kuharibu zaidi he passes by my place drunk anakula supper narrating his pub Chronicles… The nigga is lost I have tried to advise him to drink responsibly but he doesn’t change … His dad knows me , I remember he called me once telling me niwache kufunza kijana wake wa kanisa pombe…

huyo alijichimbia shimo ,its either ajitoe au he’ll continue sinking.
Otherwise pombe inamalisa watu

Pombe sio @Supu don

Unampatia supper na alikuwa anakulenga vile alikuwa na pesa

Huyo alikuwa anachunishwa sukuma

Lakini corona has hit esp. Entertainment guys hard, djs, event organisers, m.cs. Hao majamaa nawasikilia huruma.

A resident dj i know who was used to taking btwn 10-15 shots of high end liquor a night saa hii anakunywa quarter ya 150.

I think alikua alchoholic but he hadnt yet found out.

Ma-DJ hununuliwa pombe nyingi sana kwa hivyo ni rahisi sana wao kugeuka kuwa alcoholics.

Kitu strange Ni pombe pesa ikikuishia ukuwe maskini hata bila pesa utalewa bado

There will always be pombe even in hell

why show pity to a grown ups who know they should better save and invest instead of partying …40,000 bob tax free income per weekend si kidogo …wacheni hawa watu waumie wamee akili

Btw maybe it’s coz iyo dough hukuja tax free ndio wanawaste… coz hawezi weka bank so either aweke kwa nyumba ama a spend.

i know a DJ who makes 100K plus every weekend , saa hizo he has gigs from monday to thursday …and he is paid to be a resident DJ in a popular club per month …all that money tax free ! dafuq

Pombe ni ghasia sana… Collectively nime spend almost 4 yrs kwa different rehabs. 3 months hapa, 6 huko … 1 month mara na hepa. Hii ya mwisho nilichapa 1 yr kwa rehab fulani ya ki- church ya ufala sana. Hao watu wa rehab wanakula watu pesa sana, profit margin zao in unreal. Na sijui kwa nini niko gilbeys hapa …crap.

I have completed 1 month bila alcohol. Ni ngumu sana!! Had to cut off links with very many friends. Juzi waliniita tao kwa local imejificha nikatokezea. Waliniforce mara ka kumi nionje kakitu nikakataa kabisa… alafu ndio nikadiscover hawa majamaa wanataka niwajoin juu ya kushare bill pekee.

relapse msee issa bitch

Fungua thread na full story tukusaidie

majamaa wa mtaa huclaim wanaacha every now and then

I’m only a social drinker if necessary, makali ata imeanza kutaste kama changaa kwangu nowadeyz shiet

it’s pathetic to be drinking when most ya mamjama wanakataa kuhustle ju ni ngranjuates yet they dress like sheet