MY X...........continuation 2

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/my-x.43589/
Huyu mdem alikuwa na ujinga sana…she was a shinny eye.now after dem kuingia kitchen akaanza zile za utakula nini culture…mimi nikanyamaza tu.niko tu hapo nawatch soap opera na bae while at this moment she is boiling akidai kulipuka.but i tried to cool her down .nikamshow awache fala aendelee kufanya vile anataka bora tu asijaribu kukunguza.we ndio nafenda…mnajua vile hawa watu tunawadanganyaga:D:D:Dto take you back kidogo …

i was dating this lady but alikuwa na tabia za kishetani.i can remember on 12-12-2015 ndio tulikuwa tumepanga tuende home kwetu akajulikane na wazazi coz i was ready to settle with her dispite her drama.for sure i loved this lady. but guess wat??imagine on 11th usiku napigia mtu napata ako mteja mpaka kesho yake kitu saa nane hivi ndio alini text.{SORRY MY PNONE WENT OFF.BUT I AM NOT READY TO GET MARRIED}ILE KICHAPO NILIMPEA VILE TULIPATANA…ANYWAY HEKAYA FOR ANOTHER DAY…Tuendelee.dem alikuwa anakam kejani.nampikia alafu awezi ata tumwa chumvi.kazi ni kukalisha matako hapo mjamaa afanye kila kitu.alafu alikuwa amezoea pombe sana coz alikuwa anakam na mzinga ya poison.{any brand}na tukienda out on satos she will never spend her coin.all bill on me ata credo ya soo madze.so nikaona hapa haitaweza.

Wat am i saying…nasema nini???nikaona hapa mambo itakuwa mbaya nikaamua kuact sasa.nikachukua handbag yake na kumtoa inje ya lazima.acha fala aanze kupiga kelele kwa ploti but nikamshow to hell .by now ilikuwa saa nne hivi usiku.majirani wakatoka nje alafu akaanza kuongea ujinga ati.mimi naitwa shiro na huyu ni bwana yangu ata nyinyi mnanionaga nikukuja hapa na pia kufua nguo na kuosha huku alafu anataka kuniacha .mimi siwezi kuacha heri nijirushe huko chini nikufe.:D:D.Nikamuuliza anagonja nini.hapo akachukua viatu za bae akatupa huko chini na kuanza kumtusi ati anamyanganya bwana.nikamshow nilimpea tym but akaleta mchezo na kunichezea akili na nisha amua enough is enough…Kuna towel na panty kadhaaaa:D:D:D:D:DZAKE.zilikuwa hapo nikazichukua na kuzitupa hapo nje na kufunga mlago…TO BE CONTINUED

6 Likes

You expect us to believe uko na sufuria za kupikia na hazijajaa mapanty?

4 Likes

ii hekaya naona unapeana design ya dawa 1*3…ni sawa tu doctor!!

1 Like

@culture composition high school ulikuwa unapata ngapi??

3 Likes

paragraph kasee paragraph…

1 Like

…mi siwezani na hizi hekaya - series

1 Like

mkamba , uwongo zako tunaeza onea kwa 18

1 Like

yaani memory ako nayo ni @culture ulikua unapenda kula? anataka kutaga mayai kwa jikoni yako?

1 Like

acha kukonjolea uncle

@culture endelea

leta hekaya haraka

Paragraph papa

kwani hujaona paragraph?

admin unatusumbua , nyangau wewe

nitakupeleka Gulag Siberia

1 Like

Location Of the Hekaya: Bedsitter or Your Mansion?

Hii ni ujinga

hehe drama season one episode 3

mko na ujinga .ata siendelei

1 Like

Story within a story within another story…ebu fululiza hekaya vizuri…thong wewe…

1 Like