Hii niya wapi?
[ATTACH=full]87358[/ATTACH] [ATTACH=full]87359[/ATTACH] [ATTACH=full]87360[/ATTACH]
Choda Fabricators does it again.
cc: @Jazzman @wheelz @Luther12 @inzhener otmetka
Kill it before it lays eggs.
sufuria tupu
ikiwa hiyo ni chuma na si fibre, that bus will have its weight in the wrong place. Then mbona watu wanyimwe dirisha na hakuna ac
hii gari every three weeks iko garage ikifanywa touchups, within a yr filler yote imefura videadly na hujamaliza kulipa loan.
ukiona wamasaa invest contact @vuja de
Kitengela, apa nayo they overdid it, kinda ugly
True, that bus looks seriously top heavy.
NTSA wamelala kazini, it wasnt supposed kupita inspection but this is kenya
kuna KCK inakaa kibanda ya keg, ishachapa tiyari.
Choda nikama wamefika mwisho wa mawazo, sahii wanatoa vitu zingine mbovu sana. Hii gari ni CJ na itachapa haraka sana
unachukua loan unanunua an overpriced minibus ya fibre
Kwanza hii Biz haina kakitu, izi mpya zinachotwa na bank every month
Transport pays but ujuwe mat inalisha watu wangapi
1.crew
2.police
3.kanjo
4.mechanic
5.makanga
6.militia crews e.g mungiki
7.lastly the owner…
Kwa hawa watu wabaya ni crew, police na mechanic,
Woi
The owner alifanya ufala akaipeleka riko b4 iende checking uko Machakos…ilienda ikafukuzwa lazima itolewe izo vitu zote imeongezewa b4 ipitishwe checking…The owner is counting losses at the moment
The new standards kick in in May.
zipi hizo
(Wamasaa) Wa group of handles. Dagorretti.