mzigo lazima ifike....

[ATTACH=full]175219[/ATTACH][ATTACH=full]175220[/ATTACH][ATTACH=full]175221[/ATTACH]
hapana tambua multiple haulier…

:D:D:D:D:D

haki baridi ungesema hii ilifanyika Narumoro usiku wa kuamkia leo

Creativity

:D:D:D

:smiley:

Wait, kwani hiyo pesa angelipa matt haingetosha pickup?

:D:D:D:D

Mimi nilisoma it was a stolen cow being transported

These people…wizi tu

Unamaanisha ile Nalemoru ya Tanzania enroute to Mt. Kilimanjaro?

la, hasha, huku mkoa wa kati, kenya. katikati ya miji ya nyeri na nanyuki.

una maswali mengi…kwani…

Asante kwa kunifungua Macho, kuna kijiji kinaitwa Naromoru Mpakani mwa Kenya na Tanzania karibu na mlima kilimanjaro

:D:D:D

Ilienda kuchapia wengine hekaya