Mzito Omar Mohammed Amejionea Maendeleo Ya Jubilee Rife Rife. Wewe Je?

#1
**Switches on fake coasto accent**
Wadau, mwamkumbuka huyu bwana mdogo?
Haya basi, chembilecho wahenga, hayawi hayawi huwa. Punde baada ya kanda hiyo kusambazwa kwenye mtandao, Omar alifikiwa na mkono mrefu wa maendeleo. Kijana alitunukiwa zawadi mwafaka kama njia ya kumpongeza kwa msimamo wake wa kutetea chama cha Jubilee:
omar.png

Kwa wale ambao wamebeba machungwa miaka kumi na tano bila kuona faida, twawapa pole.
Na kwa wale wanaowadanganya viongozi wa kesho na ahadi bandia za kuwapeleka Canaan, twazidi kuwakemea.
**Switches off fake coasto accent**
 

Top