n kubaya......airtel

Nani amepigiwa na airtel ka mmi juu ya mwitu…

1 Like

Nikikwambia wamenipigia utaweka hekaya yote?

Eeeh yote…nawewe toa yako

???

ulifikiria umeshinda gari kuchukua simu wanaanza stori ya mwitu…

Fuck u…m nmezoea kupigiwa kutoka jan

What do they say

Give us your details…nani alikupea code…etc

Hehe… Saf pia wameamua leo

Si muache ujinga, eka hekaya yote

ebu leteni hekaya muwache umama

nadai bundles mwitu

so there are no more safaricom bundles mwitu?