Nahama

Am out somewhere attending an interview. Majamaa wish me well nione kama naweza hama kutoka huko kwa Abdul nikuje huku kwakina Ahmed for a better deal. Nmechoka na kazi ya kulisha ngamia za Abdul.

[ATTACH=full]78898[/ATTACH] Somewhere in the gulf. Will be back shortly

9 Likes

All the best kanono, kwa Ahmed ni wapi tena? Na mbona hile wìra ya LOGCAP haukuichukua

enyewe jua ni fyam huko,kiatu imechomeka hadi imeanza kutoa scales.All the best though

14 Likes

Hio koti jo

1 Like

for a moment there I thought @Kasighau had lent you his shoes

14 Likes

all the best

3 Likes

Wewe ni mnono cha ukweli mpaka kiatu ni oblong. :D:D:D:D. All the best

19 Likes

Hiyo kiatu ni kama ya guka yangu.

2 Likes

Good luck bro.
@negrowegrow , you brary negro

6 Likes

Wah!
[ATTACH=full]78899[/ATTACH]

3 Likes

All the best Kush.

3 Likes

hahaha

All the best kanono.

I guess someone told you to “keti paaaare” as you await your turn.

5 Likes

Hiyo ni toja ama ni blanketi ya rivatex umevaa kizee? Best of luck lakini.

21 Likes

Trouser ni zile bendera.Ukitembea zinapeperuka:D:D.All the best Kush.

3 Likes

Kumbe unavaa kiatu size 7? All the best mchungaji.

2 Likes

All the best,kill it kwa hio interview

1 Like

Hehe hio kiatu apana

1 Like

Kanono kanzu yako imetengenezwa na material ya trouser? All the best.

3 Likes

all the best kush.
better job = more money = ability to buy more arimis = more nduthi = happier kush

6 Likes