Nahitaji mwaliko wa Eid wakuu, pilipili, chumvi na kijiko juu yangu.

4makind

Village Elder
#12
Uzi unajieleza wakuu, nangoja mwaliko toka kwenu, mimi si kama waalikwa wengine wanaokuja mikono mitupu, mimi ukinialika nakuja na chumvi yangu, pilipili na kijiko hata uma naweza beba na sabuni ya kunawia hata maji ya kunawia naweza kuja nayo.
@Demiss @Mzigua90 @4makind nialikeni kwenu tafadhali.[/QUOTE
Just seeing your post. Pole sana, leo juu nimejifool kuliko maelezo. Uko pande gani? niko Mwea
 

Top