Nahitaji mwaliko wa Eid wakuu, pilipili, chumvi na kijiko juu yangu.

Uzi unajieleza wakuu, nangoja mwaliko toka kwenu, mimi si kama waalikwa wengine wanaokuja mikono mitupu, mimi ukinialika nakuja na chumvi yangu, pilipili na kijiko hata uma naweza beba na sabuni ya kunawia hata maji ya kunawia naweza kuja nayo.
@Demiss @Mzigua90 @4makind nialikeni kwenu tafadhali.

Ukialikwa utanitag

Mpaka sasa kimya kimetawala

Mambo magumu mkuu… hahah!

Huku ukimbizini hakuna kualikana.

Saa 7 kasoro dk 5 hakuna simu wala sms ya mwaliko.

Ikifika sa 7 nanusu inabidi nianze taratibu za kutafuta dagaa nipike ugali

Hahahahah!!! Aisee umenifurahisha sana

Hahahaaa, siamini macho yangu, inabidi nile ugali tu nimeingia hasara kununua pilipili za 500

Mpaka sasa ubao wa mwaliko unasoma 0-0

Hahahaaa

[quote=“Sijuti, post:1, topic:163595”]

Uzi unajieleza wakuu, nangoja mwaliko toka kwenu, mimi si kama waalikwa wengine wanaokuja mikono mitupu, mimi ukinialika nakuja na chumvi yangu, pilipili na kijiko hata uma naweza beba na sabuni ya kunawia hata maji ya kunawia naweza kuja nayo.
@Demiss @Mzigua90 @4makind nialikeni kwenu tafadhali.
[/QUOTE[/QUOTE]

Just seeing your post. Pole sana, leo juu nimejifool kuliko maelezo. Uko pande gani? niko Mwea

Nipo Arusha Tanzania

South ya hapo uliko

Will be in Arusha next week, I have an ongoing assignment with TAHA next week

Welcome, ukija tuwasiliane, tuonane.

Pole sana nimechelewa kuona ila mi mwenyewe jana nilialikwa eid

Mi siamini kilichonitokea jana, ila malipo ni hapa hapa… sijaonja nyama yani daaah