Nahitaji mwanamke mwenye sifa hizi.

  1. Asiyechoka mapema kitandani na mwenye kupenda kufanya tendo la ndoa Mara kwa Mara ( kigezomuhimu sana)
  2. Elimu chuo kikuu
  3. Asiyeongea sana.
    Umri kuanzia miaka 27- 42.
    karibuni.

Nimekosa kigezo kimoja tuu…

Pole

Hicho kigezo cha kwanza kimeniharibia

Hmm… Utasubiri sana, maana wenye kigezo cha kwanza mara nyingi cha pili (na hata cha 3) hawafiti…

Mimi umenikosa kwa kigezo cha pili.

@Hajar njoo kidogo

Hahaha. Nimekuja jirani. Haya Nambieee.

Japo jirani nimecheka hicho kigezo cha kwanza lol. Huo si ndio mwanzo wa kuchakazana jirani. Sababu ile kitu ikizidi basi mwili hauwezi kuwa na nuru hata kidogo ujue. Teh teh. Hahahaaa.

lol si ndoa ni kuvumiliana aisee Mie nataka bibi asiyevaa chupi nikiwa chumbani…mimi ni gentleman kabisa
:D:D:D

utakuwa unataka robot

Hutaki motooooo hahahah.

Wewe utakuwa sio tatizo sana kwa mleta uzi, Kama MUHIMU unacho

Usijali, ninafuta hicho kigezo cha Pili. Deleted

Kabisa Mkuu, huyu kwa kuwa anakiweza kile cha kwangaru cha Pili nakipotezea.

Kwa

Kwangaru ni wapi?

weka mate nitereza kama nyoka pangoni.

Sijakuelewa

Weka mate nitereza kama nyoka pangoni. Mchezo wa kitandani

Hahahaaa. Ni kweli ila duuh.

Ndio uanzishage uzi jirani waje huko Pm mzungumze sasa.

Haha tunawaomba warembo wote wa TZ waungane nasi …nyinyi ni wakarimu sana. Na siwaoga wa kueleza maoni yao katika maswala kadha wa kadha. Je wewe umeolewa…