Jana nimepiga lap huko ndani NNP, hiyo place ni kubwa sana. I wish ninge kuwa na ile DSLR ya beste yangu but mlika mwizi yangu imeshikilia...
Charges;
Saloon Car - 300/=
Kenyan Citizen - 430/=
Note;
1. Ukikwama huko ndani, towing charge ni 7500/=.
2. National ID is required.
3. ulizia kwa gate zile upande simba ziko, nimezi tafuta nikachoka.
4. Sense of Direction ni fiti juu kupotea ni rahisi.
5. DO NOT HOOT at the BUFFALOS, Animals have THE RIGHT OF WAY. (Kuna fala alikuwa na Noah, alipata Hekaya ya mwaka




).
6. Baboons can and will take anything and everything usicheze nazo.
Jambazi aka Baboon...
View attachment 136495
...
View attachment 136496
...
View attachment 136497
...
View attachment 136500
...
View attachment 136516
...
View attachment 136501
...
View attachment 136502
...
View attachment 136505
...
View attachment 136511
...
View attachment 136514