Nairobi National Park...

Jana nimepiga lap huko ndani NNP, hiyo place ni kubwa sana. I wish ninge kuwa na ile DSLR ya beste yangu but mlika mwizi yangu imeshikilia…

Charges;

Saloon Car - 300/=
Kenyan Citizen - 430/=

Note;

  1. Ukikwama huko ndani, towing charge ni 7500/=.
  2. National ID is required.
  3. ulizia kwa gate zile upande simba ziko, nimezi tafuta nikachoka.
  4. Sense of Direction ni fiti juu kupotea ni rahisi.
  5. DO NOT HOOT at the BUFFALOS, Animals have THE RIGHT OF WAY. (Kuna fala alikuwa na Noah, alipata Hekaya ya mwaka:D:D:D:D).
  6. Baboons can and will take anything and everything usicheze nazo.

Jambazi aka Baboon…

[ATTACH=full]136495[/ATTACH]

[ATTACH=full]136496[/ATTACH]

[ATTACH=full]136497[/ATTACH]

[ATTACH=full]136500[/ATTACH]

[ATTACH=full]136516[/ATTACH]

[ATTACH=full]136501[/ATTACH]

[ATTACH=full]136502[/ATTACH]

[ATTACH=full]136505[/ATTACH]

[ATTACH=full]136511[/ATTACH]

[ATTACH=full]136514[/ATTACH]

Nice…wanahesabu watu ndani ya gari au 300/- ni wholesale fee?

Safari walk at Nairobi National Park remains among one of the best place you can take your family for a fun day.

The Vehicle ni 300 and then mnalipa per person.

Kuna King Fisher Picnic Spot iko fiti no Baboons but haina Gazebo mingi, over the weekends watu huwa wengi.

Note;

Nilisahau No Restriction on POMBE:D:D:D

[ATTACH=full]136525[/ATTACH]

Kama hauna gari do they still allow you to go without a ranger

Beautiful. Hii ni idea.

self drive you dont need a ranger, kama hauna gari chukua jamaa wa Uber. mpige lap :D:D:D:D

footsbishi is not allowed, sidhani unaweza toka lion, leopard na hyena mbiyo…

People been salivating for that park, they wanna build rental houses.

wanakubali watu wa cheki maneno?

siwes enda. nasikia kuna faggot lions siku hizi

[MEDIA=twitter]925770542371794944[/MEDIA]

hehehe nice one @crasher_18

:eek::eek::eek::eek:

pande ya Rongai wana jenga pretty close to the fence.

Dont think they can allow this, juu kumbuka huku ni Park. Animals roam freely!

Danke

About 10 yrs ago, kuna bus ya wildlife ilikuwa inachukua watu hapo co-op bomb blast on sato. Sijui kama bado huwa…

Yeah naikumbuka. Think it was discontinued.

there is a kws bus that is usually parked hapo nje ya nakumatt moi avenue during weekends huwa inachukua watu, but can’t remember about timing

It used to be 300, mnapelekwa touring park mzima.

I remember also kwa wenye magari they would allow car park partyin in some sections of the park.