[ATTACH=full]122899[/ATTACH]
Upuss!!!
Hao ndio tunasema watalijua jiji?
Quite naive but this is really bad!! Dishonest people everywhere mpaka unashindwa kusaidia genuine cases
huyo jama akifanyia watu 10 hivyo kila siku in different routes and mat za nairobi ako na 2k per day:cool:
Kuna mmoja alijaribu hiyo vako na mimi… I gave him 20 Bob nikamuambia achangiwe na the other 31 passengers… Apan tambua strangers
I thought safcom hu call sendee before ku reverse ?
Hii Nairobi even assisting genuine cases ni ngori sana
huyo amedanganya…safcom nowadays huconfirm na lazima wangepigia huyo Dame Kwanza.
Mimi ni ngumu nisaidie
What irks me most is when you help people they think you are a wimp or stupid…
Ebu toanisha hiyo fala…nimekamata mjinga mwingine…
Hii sifa ya ukora na uwizi ndogo ndogo is slowly becoming one of the things Kenyans are identified with. Nigerians wako number one in Africa kwa ukora and sisi pole pole we are taking second position.
A few years back Kenya was known as a country full of runners and all of us used to be very proud to state our nationality when traveling abroad. It`s really sickening siku hizi when some foreigners hear that you are a Kenyan they also associate you with corruption and petty theft.
You cant be reversing mpesa transaction left right and centre!!
Mungiki lead the squad
true, they freeze the account and call to confirm whether its in error. plus they give u a duration, haikuangi instant. Hii ni ushosholite ya fb ya kutafuta likes
Labda ako na simcards kadhaa
safcom nowadays call the recipient sio kama kitambo watu walikuwa wanakula lanye hKM
sparta uko area.
Betting has milked him dry:)