Nairobi show (as we knew it)

siku hizi mnaiita trade fair

When was the last time you attended the Nairobi International Show (now called Nairobi International Trade Fare)?
What are your fond memories of this event?

mie nilikua naenda kwa DS disco, 20000 watts. drank my first beer there

Chukua link ya ule jamaa nilikua nakuambia anaeza kujengea ile tv stand ya scannia na fibre glass…
[MEDIA=facebook]1954838191197209[/MEDIA]

For us it was mating season. Heading straight to kakamega forest after the show

DS mambo mbaya… Weeh design rasa tulikuwa tnarombosewa huko ndani acha tu

In my primary school days, it was all about kofia za karatasi so that you can floss them at school next day and to prove to your neighborhood that you actually attended!..
When you’re a bit older your parents allowed you to watch “tatuu” the night show that the army did.

Did I mention the merry go round?
And the parachutes landing from the sky?

When you were older it was all about the Disco sijui how many Watts?!.. kikikikkkk…

But the fondest memory I have is being a member of the Scouts club in my high school the year Yellow man played at the Show!
And we had a free pass access all areas thanks for being scouts!
Tulikuwa camping next door at that place Scouts go. (Can’t remember the name)

Huyu Yellow man hapa for the millennials.

https://www.youtube.com/watch?v=3EtSPUAFkeg

one day in 001 huko maweni parachute ilimiss show ground ikaland pale tunakunywa mnazi, ustakejua ile mbio tulitoa pale. uzuri tulihepa na bill
feel sorry fr that mama

Ilikuwa inaitwa Rowaland camp, sawa. We might have met there …

Nikiwa class 4 nilipewa 20 Bob na mzae, hiyo pesa ilifanya karibu nikuwe mwenda wasimu…
Nilizunguka the entire showground nikinunua vitu then wakati karibu iishe nikaona bouncing castle…
During those years it was a novelty something something I had never set eyes on na sikua mimi peke yangu kulikua na nyangau kadhaa almost 17years zinapiga masamaa uko ndani… Na watoto kadhaa wamekaa kwa kona(had not yet known the reason why) . Nikalipa 2bob na kuingia kwa kiwanja…
Nyangau ilikua imeruka karibu futi tisa kwa hewa, kuland nikarushwa futi Nane na kujipata kwa kona ya tarpaulin na maarif… Nikajaribu kuamka same thing nikaona wacha nitulie kwa kona nisirushwe kwa kokoto ile pande ingine…
Nikaanza kuskia sauti kama ya mashilingi… Kuangalia naona Kuna pesa, zile ndume in the process ya kuruka futi tisa kwa hewa zilikua zinaangusha pesa…
Came out of that place with almost 90 shillings, nilikutana na kajamaa pia kametulia kwa corner kanajifanya hakana shughuli kalikua kamevaa uniform ya shule nikakatimua…

But hio siku ulikuwa skinnier than waria Wa kakuma.

For me summary iko hapa; cc @Waithelelo

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/how-i-met-waithelelo-aka-mfm.50266/

Kabisa!
Dementia imenizidia siku hizi…
Labda tulikutana Ile competition ya Provinces '92 ama '93
The fun was on being on night guard kazi ni kunyemelea Mahali Girl guides wa Coast province wako na kutamani hao waarabu … Alafu bonfire night…
Life was good!..

Sasa niwapi tena umeniita?woooi wooi utanionyesha mambo wewe Kuria. BTW I know the Kamaru song I dedicated to you zamo when I was MFW…Wendo wa cebe cebe was all lost on you.

Message was all lost on you again since last night as I dedicated it to you again. I think I need to talk you thru what Kamaru is seyying…

Nilikuwa nimesahau!..

The biggest memory is ya watoto kupotea show!..
Kikikikkkk

Kulikuwa mpaka na a dedicated section ya wale watoto wamepotea!.. kikikikkkk

Mnaenda a school trip kidogo the ‘slower’ kids wameenda missing kazi ni spending the whole day looking for the dozy cunts!
Thank god hizo siku Kenya police were trustworthy and professional the used to round up all the lost kids wanawapeleka the “lost and found” section!.. kikikikkkk

alafu kulikua na chizi @introvert na pikipiki kwa a round hse, anazungunguka tunafikili ni majic, after 2 minutes your 3 bob kwisha, kumbe ni laws of grafity na sisi tulikua twamuona superman

hated the ngombe and mbuzi section

Hata madem wa chuo pia walikuwa wanapotea and thats how yours trully alikuwa anawa lay … hehe

Kairetu ntakuchapia waya tu rap. Sitaki @uwesmakei aibe lyrics zangu sawa

leta hekaya

Make it quick darl…sasa umeamsha Ka-Buda…wewe ni mwenda