Nairobi to Addis Ababa by public transport.

Anyone with info on this ?. Can I bring some merchandise on the Bus ? Or other means by road ?

Ule talker anitwa @jamoh i think alikua anatumia io route kuleta electronics from dubai…

Eastleigh tenth Street tafuta basi ya moyale ,fare 2k , distance 778 kilometres , journey starts at 7 p.m , estimated arrival time in moyale 8.00 am . From moyale piga passport hapo Kwa immigration vuka panda basi ya adis 774 kms.

hizo basi za moyale huitwa Earthplane ama Airplane… kuonyesha vile zinapepea.

Usalama iko aje uko?

Hazi tambui speed governor kama wewe ni muoga panda crown bus.

Iko safi watu hubeba millions wakipeleka Kwa banks Mondays ,shida ni tribal wars ,oria wanapenda vita na kila mtu ako na bunduki.

Ni biashara gani izo ziko na pesa ivo…

Boss, nilitumia hio route last year. Beba just necessities coz ukifika Ethiopia passengers wanapigwa search kila after several kilometres. Pia utaspend two days kwa basi from Moyale to Addis, get enough money to sleep at Hawassa. Language barrier is also an issue. Inabidi ujipange, ukitaka more advice niulize.

People this sides believe in mattress banking uzuri shiny hawajafika huku na pishori

Ukipata anjii taye?

1 So overall transport plus accommodation unaeza ambia Duke akue na ngapi
2 are they alien friendly like the Baganda

3 unaeza advise mtu aende town gani uko

4 immigration (boder point) iko water tight ama Ni porous kama yetu

Uko ukileta kiherehere utakuwa mabusu.

How do you know? Ama unakuwanga afande wa Uhabeshi?

Si upande tu ndege,unless you planning on bringing illegal stuff by road,3days kwa barabara Si utakufa

I bet they will enjoy that,coz marafiki zangu akina @pamba wanapenda kua Nasa sana compared to the number of other illegal aliens

Kiherehere muko nayo huko hawatambui,mulevi akivuka border ndio pombe inamshika ,huko nyahunyo utakula @Panyaste peleka kiburi Ethiopia tukutambue.

Uzuri was mabasi za Ethiopia ni orderly sana na unadungwa kimkate fulani hybrid ya chapo na boflo na maji mkianza safari

Ubaya ni slow speeds na minimal comfort. As someone pointed up there, you’ll make an evening stop over until the following day mainly at Dilla. Kama unapenda anasa kisha msimame Awassa wewe kwisha. Utawachwa asubuhi.

Was there just last week

Hawassa mambo yote