#NairobiCounty #Security #Car Hire

[ATTACH=full]27568[/ATTACH]

shining their eyes

9 Likes

kichinjio sasa ni Karen sio Kangundo road

That must be one lucky owner

1 Like

Inakaa walimesewa kitambo…

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

lakini hizo rims ni tamu sana

[SIZE=1]basi lamba tena[/SIZE]

7 Likes

Jijini akili, mashambani nguvu

1 Like

Hao shining their eyes ni pawns 2

yaani only kukuyu eyes shine even in daylight?

4 Likes

[SIZE=6][/SIZE]
[SIZE=4]Dont be shy! say it loud.

And just wait till i learn how to shine my eyes. You wont stand a chance when we meet.[/SIZE]

Bona hawajapigwa risasi bado mpaka wanainua kichwa…

One word IPOA

1 Like

Unaiba aje gare ya car hire?? Awa hawakosi ni wezi wa coast hao ndo ukua slow hii design

Hawa wameuwa watu wengi sana hii biz ya wizi wa magari ni noma sana…mara nyingi unakula risasi…

ungepata haka kagari OLX 750K unaona umeangukia

1 Like

Nowadays it doesn’t matter. Kwanza kama hawakuwa armed then they’re shot dead, karao anakujiwa na IPOA and he’s @gapcrew -ed hadi kwa mkia…

Kenya ama wapi?

Watu wanaagushwa kama inzi huku especially Dec, lakini ni poa IPOA iingilie kati hawa watu wanakuaga na ushenzz sometimes

kuna kichinjio ingine upper hill after Citi bank