Naivas the 1st casualty.

Following closely must be Tuskys, they are Siamese twins.
The rest I can only hazard a guess, Quickmart is coming up fast and the declining Choppies.

[MEDIA=twitter]1151839325732200449[/MEDIA]

Hii ujinga imetushika sijui ni nini. Kwani leo ndio tumejua tunakula sulphite. Si hata dawa zimejaa sulphites. Nini tena? We even produce sulphites in our bodies. Eish. Si nipewe hizo nyama watu wanakataa zote nijiwekee kwa freezer! Do people prefer flies, salmonella, cholera and dysentery instead? Watu wawache ufala.

Copied from some random neutral site online

[SIZE=6]Safety[/SIZE]
Sodium bisulfite is well-tolerated by the vast majority of people. Sulfite-based compounds have not generally been found to cause cancer or birth defects in laboratory animals, even in relatively high concentrations, reports the University of Florida Institute of Food and Agricultural Sciences, and they have also tested negative for mutagenic properties. Sulfites have been important food additives since at least 1664, and they’ve been approved in the United States since the 1800s. They have been considered safe historically except in those who have reactions to them.

Let them be bold enough and put no chemical stickers on meat

Tulisema saii ukienda bushere lazima kuwe na
[ul]
[li]Uchafu[/li][li]Kaharufu[/li][li]Nzi (very important)[/li][/ul]
ndio tuamini hiyo nyama. Otherwise ubaki na hizo nyama zako za cancer. Tumeshakata kauli and there’s no turning back.
Anyway, Kenyans have very short memories. Hizi ni kelele tu, by the end of this month hakuna mtu atakumbuka hii story.

I Know your case man, very savage, we hata snail mbichi najua kitoweo kata toklesea

Boss the amount of that chemical found in that meat exceeds the recommended dosage, cancer sio mchezo.

Kenya ina wenyewe people who shop meat in supermarkets CAN’T be exposed to poison ,lakini wengi tunao nunua,chapati,bothering, mutura , on roadside where sewage flows freely and dust is all over can die silently !

those defending supermarkets mko na shida. kama wanataka kuuza nyama wachinje mbuzi morning wauze iishe. wakenya hawajipendi, halafu tukikufa na cancer tunapigia serikali kelele. mama ngina and moi eats black tea without sugar with arrow potatoes. nyinyi kuleni nyama

Hapa @Motokubwa ameangukia… bushere zake ni Pumwani ya nzi…

Itabidi tule cockroaches kama mrasta mwingine niliona jana kwa teefee.

This betting companies, badala,ya kuzifunga ,they should put cancer hospitals in all counties…don’t talk of county allocations ,or ooooh national government

The thing about food safety is if an additive will cause complications in 1 consumer from a pool of even 10 million consumers, that additive can NOT be considered safe by nature.We dealing with human lives here not rats.

Unless labda cyanide pyrosulphite. Sodium pyrosulphite at doses hundreds of times that dose have never caused cancer or even birth defects. Wakubwa wanatakiwa watokelezee waseme, “tunajua hii kitu imetumika, sio sumu lakini. Tunatakiwa kupunguza kiasi kinachotumika.”

Saa hii watu kila mahali wamewika kama kuna mtu anakufa! Juu ya pyrosulphite? Heheheheee…

Hata sijui walilipa huyo daktari mwanamke pesa ngapi kuingia kwa hiyo video. Hata yeye alisema kuwa hakubabaishwa na sulphite ni vile hakutarajia kiasi hicho.

Pyrosulfite inaweza kuzua allergy to sensitive people. Cancer? Zi.

naona akitry kuruka ruka in celebration lakini wapi? ni mikono tu zinaenda juu, mwili mekwama ground floor, kwani chieth huwa na gravitation pull strong hivo??? naulisa jo FIZO

Umekuwa Dakota leo concentrate on sex and relationships section hii ya health tawe.

How about they label nyama iko na sulphite ndio customer aamue?

Kaeni hapo na nyama za butchery saa zile sisi 3D printer inatengeneza steak kwa nyumba on demand.

It’s usage must be declared for consumers to make informed decisions

I agree. This should be passed and enforced as soon as possible watu wa inzi waende kwao na wa sulphite waende kwao.

Exactly. Hii mambo ya kuuza vito as fresh with no additives na kumbe iko nayo is very misleading. They should label them as such. And even when they put additives then they should put safe amounts, sio ati overdose