Naivasha mpaka sato

Wakumbwa niko huku, mdosi amenilipia semina. Ni saa ya jioni, niko na padiem, saidia mimi osha mwili

Uliza oldmonk na regional manager

Join hipos kwa lake ! Others enda kamere !

[ATTACH=full]247512[/ATTACH]

Enda bar flani ya mugithi, utatoa shiny eye kamoja hapo.

Enda kwa njambi,changaa den muzuri Sana

Enda club bubbles uoshe rungu

Ata niko io Bubbles. I can smell it ikipita

Fwakin shiet. Staki hii

Uongee na waiter akushow kunguru legit kuna wa mchele wengi.