Najuta saana

Daah… kwema wakuu naona mpo majina yale yale. Kilio changu ni kutoweka kwa JF. ila kikubwa zaidi ni kuchelewa chelewa kwangu nasubiria Embe likomae hatima yake server zimezimwa.

Cherie neisha popote ulipo kama unatumia ID nyingine naomba unitext. nilipanga kukutongoza kabisa. sasa sijui shetani gani naye mwenye wivu asiyependa kuona tunayafurahia maisha wote kanipitia nikasahau. hadi tongozo nilishalikariri lipo ready. fanya namna please.

Hahaa,pole sana mkuu

Umekariri tongozo haha!

Pole sana…

Cc: @Mahondaw

khakhaakha… wacha nifunge domo langu

[ATTACH=full]179065[/ATTACH]

Nacheka tu

:smiley:

hatareee

Huku ukiingia kifala upatane
Na jaluo zenye znang’oa rell

Duh kweli lazima ujute, endelea kujuta mkuu hadi aje umtongoze

mzee dunia ya leo unakariri tongozo

Mh!!!

Hahahaaa. Lol. Kwa hali hii jf ingerudi hata kwa dk chache ili wadau wakamilishe ambapo hawakupamalizia.

Nikwambie tu Mkuu usijali kabisaaa na hauko peke yako kwani hiki ni kilio cha walio wengi kwani jf ilizimika kama mshumaa aisee.

Nina imani atakuja tu huko chumbani hata kama sio leo. Hahahaaaa.

Hahahaaaa. Lol. Ndio hivyo rafiki.

Hahah!!

Asee!!

Hebu nitumie namba zako. Hawa jamaa hawachelewi kuingia mitini kama JF nikakukosa mazima. Sipendi kifafa ujue

Hahhahhahaha nimecheka mm