Nakula hii.

Niko kwa Mureithi. Mureithi mtu wa power sana. Mutura, Kichwa na supu ananijenga na 150/- kabla niingie Whiskey River. Weekendi njema

[ATTACH=full]249217[/ATTACH][ATTACH=full]249218[/ATTACH]

Nunua pot juu sidhani utafika home kabla uanze kuhara

na kesho unyolewe na uwe pampered kwa kichwa, nini ingine unaweza kuwa unahitaji Kwa hii dunia?

nini itaharisha yeye mbwa hii? wengine Wetu hatuwezi kubali kunyonya Abdul mboro Na ni lazima tukule liwe liwalo

Jamaa anakula mutura ya 50/- and planning to consume 2k on poison. Bona hujipendi villager?

Eish umekuja na ubaya hapo ni kama dogi iko kando ya mwenyewe, ama kwao

Pombe niliwacha on 12 April 2019. Sikuizi ni clean fun

Uchumi iko mbaya saidi

hii mungich tangu ichorwe kazi ya kunyonya Abdul mboro hues inaona everything Kenyan ni sumu

Whisky river unaenda kesha ama maombolezi ?

[ATTACH=full]249223[/ATTACH]

Pika mitura polepole,

Roadkill zebra cuisine. Jamaa ameguzaguza nyama na mkono ule ule wa kufuta makamasi.

Kununua German machine in a nearby yard

Kula mtura kwani tumbo ni yao

Nilikula mutura ya mwisho 2016 kwa club ingine hapo kasarini Thindigua inaitwa Copa Cabana. Nilidrive for a whole weekend. That was the end of mutura na mimi

Hii copa cabana iko wapi?

Disgusting.

https://maps.app.goo.gl/vGPZ8wDUvgCi3YwX9

Nimeona Jina walibadilisha. Aquarium Cabanas

Enjoy… Dont mind the boujee wannabes .