Nakutakia mapambano mema

#1
Kipato kinapoishia kwenye chakula na malazi, kiuhalisia kazi unayofanya inakuwa si fursa ya maendeleo, bali juhudi za kubaki hai ambazo ni fursa ya maendeleo kwa mwajiri wako. Hali hii ilikuwa na jina lake karne ya 16 na 17, iliitwa UTUMWA.

Nikutakie mapambano mema ya kujikomboa toka utumwani...
 

Hajar

Village Elder
#5
Duuh. Ila ni kweli Mkuu japokuwa saa nyingine unakuta mtu ana kipato kizuri tu ila namna ya kuipangilia hiyo pesa anayoipata ndio tatizo yaani matumizi ni mabovu.
 

Top