Nakutakia mapambano mema

Kipato kinapoishia kwenye chakula na malazi, kiuhalisia kazi unayofanya inakuwa si fursa ya maendeleo, bali juhudi za kubaki hai ambazo ni fursa ya maendeleo kwa mwajiri wako. Hali hii ilikuwa na jina lake karne ya 16 na 17, iliitwa UTUMWA.

Nikutakie mapambano mema ya kujikomboa toka utumwani…

Ni changamtoto kubwa sana…

Cc: @Mahondaw

Ndo maana sipendi kuajiriwa

Bora kutafuta mpango wa kando ukiwa kwenye ajira sio siri ajira ni security muhimu sana ukiwa na mipango ya kando isiyo na uhakika

Duuh. Ila ni kweli Mkuu japokuwa saa nyingine unakuta mtu ana kipato kizuri tu ila namna ya kuipangilia hiyo pesa anayoipata ndio tatizo yaani matumizi ni mabovu.

Duuu. To bad. We acha tuu. Nina amini iko haya yote yataisha tuu.

Wacha tuone mwisho wa mwezi huu mambo yatakuaje