Namna gani ulivyoshushwa hadi chini kuzimu

ewe uliyejitapa na kujifanya uko juu ya mawingu na ukasema utakwea hadi vilele vya mawingu,na ukajifanya sawa na mkuu wako,ona ulivyotupwa na bendera yako ikiwa shingoni,sasa ulmekuwa kama sisi ,ukajifanya mtu wa mawingu,ukawapaa wapinzani kesi za kutunga,ti ukajifanya kuchukua fomu ili ugombee umawingu kumbe mlitumwa ,vijana wadogo mkajifanya mmeva kisiasa ,ona sasa kwisha habari yakooooooo

???
Francis Imbuga…
"When the Madness of the entire nation disturbs a solitary mind, it is not enough to say the man is mad”.

Elaborate priss