Namna ya kuhiji

#1
3. Nilazima kulala Muzdalifa usiku wake na ataswali alfajiri mapema, na haifai kuondoka muzdalifa kabla ya alfajiri ila kwa wenye udhuru, kama watu madhaifu katika wanawake, na watoto na kwa wale wanaofuatana nawao, ambao wanawatumikia wao yafaa kuodoka nawao mwisho wa usiku mwezi unapo zama.
4. Anapo maliza kuswali alfajiri inapendekezwa kwa mahujaji aende kwenye 67657878_382875299252898_4941019326091100160_n.jpg Mash’aril haram, na aeleke kibla na azidishe dhikri na dua hali yakuwa ameinuwa mikono yake na ataendelea kufanya hivyo mpaka kupambazuke sana, na sehemu yoyote atakapo simama muzdalifa yafaa, kwa neno lake Mtume (saw) (Nimesimama hapa na jam’u yote ni mahali pakisimamo) [Imepokewa na Muslim] na makusuduio ya Jam’u ni Muzdalifa.
5. Anapoondoka haaji kutoka muzdalifa inapendekezwa aokote vijiwe saba pekeyake kwa ajili yakutupa kwenye jamaraat, ama masiku yalio baki ataokota vijiwe mina au sehemu yoyote atakapo okota yafaa
Siku ya kumi ya Mfungotatu (Siku ya Idd)
1. Ataswali Alfajiri, kisha atajishughulisha na kumtaja Mwenyezi Mungu na kuomba dua mpaka kabla ya jua kuchomoza kwa muda mchache.
2. Ataondoka kutoka Muzdalifa kuelekea Mina kabla ya jua kuchomoza.na atazidisha njiani kuleta talbiya na afikapo wango wa muhassira atafanya haraka, nao ni wangwa kabla ya mina baina yake na Muzdalifa
3. Afikapo Mina ataenda kwenye Kiguzo cha mwisho upande wa mina, na cha kwanza kutoka upande wa makka atakapo fika hapo ataacha kuleta talbiya (labayka) na akirushie vijiwe saba kwa mfululizo, kimoja baada ya kingine, akipiga takbiri katika kila kijiwe anachokirusha. Na unaanza wakati unaopendekezwa kurusha vijiwe kuanzia wakati wa alfajiri ya siku ya iddi, na ikiwa atarusha kabla ya alfajiri mwisho wa usiku itasihi na itamtosheleza, na unaendelea wakati wa kutupa mpaka alfajiri siku ya kumi na moja
https://www.islamkingdom.com/sw/namna-ya-kuhiji-na-kufanya-umra
 

Nattydread

Village Chief
#4
What gibberish. By the way, where did Mo mention loud electronic megaphones piercing the air in every town every time people HAVE TO BE REMINDED to PRAY five times a day?

Loudspeakers were invented in the early 20th century, and they were introduced in mosquesin the 1930s, where they are used for the adhan ("call to prayer"),[1] and sometimes for khutbah (sermons).

Outdoor loudspeakers, usually mounted on tall minarets, are used five times a day for the call to prayer, sometimes starting as early as 4 a.m. Some mosques have loudspeakers that are powerful enough to be heard as far as 5 km (3 mi) away.[2] In areas where more than one mosque is present, the loudspeaker sounds overlap one another,[3] especially in the early morning when sounds are more clearly heard. Loudspeakers are sometimes also used inside mosques to deliver sermons or for prayer.

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Loudspeakers_in_mosques
 

Top