Namtafuta huyu Member aliekua anatumia ID ya DrLove69 JF

Kama upo huku naomba uje pm au kama kuna mtu anafahamiana nae naomba amfikishie taarifa namtafuta.

N.B. Sijamuona Mentor kipande hiki au nae hajapata taarifa bado ya hiki kiwanja?

Labda wapo njiani kuja huku

Jamani naomba kujua huyo Dr.love ana niniii jamani wamsaka nipe ubuyu basi ili tupate hamasa ya kumsaka

Kama hawana nauli waniambie nitakopa haga niwaone tu huku

Woooooooozeeeeeerrrr

Watu na madokta wao! Sawa bwana

Nimempa taarifa, atakuja soon

Hahaha hahahahahahahaha

Hahaha.
Ukisikia dr basi roho inakutooka.
Mzima lakini sweet

Hehehehe mlete basi daby na iceman jamani

Hahahahaaa. Nina shida nae tu Jamani

Hahahahaaaa. @Sakayo unakua snitch kama @Shunie eeh

Niko serious ujue

Kwanini imtoke?? Au anajua dokta ulimwengu?

Hahahahaha mm usintch wangu ni nini jamani

mpaka umpate utapata tabu sanaa

Hhaahahhaah dr.ulimwengu sina habari nae

Mfyuuu

Hahahaha me nauombea tu wapatikane

Sana aiseee