Nandy hata upigiwe ' Promo ' vipi usipoteze muda wako huna uwezo wa Kushindana na Ruby

Nimewapima, nimewachunga na nimewafuatilia ’ Kindakindaki ’ hasa Kiuwezo pamoja na Kipaji bila kusahau mvuto wa Kimuziki na bila Kupepesa macho, Kutikisa masikio na Kumung’unya maneno GENTAMYCINE nasema tu kwamba kwa sasa Tanzania nzima hakuna Mwanamuzi wa Kike ’ mahiri ’ kama Ruby na huyu Dada namtabiria mafanikio makubwa Kimuziki huko mbeleni na kamwe Nandy asipoteze muda wake kushindana nae.

GENTAMYCINE huwa sisifii ’ vibovu ’ na hakuna Kitu ninachokipenda halafu ama kikawa Kibovu iwe katika nyanja yoyote ile. Na nadhani kama sasa Tanzania inataka Kutangazika zaidi Kimuziki baada ya ’ Fundi ’ mwingine Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) kuitangaza vizuri huku Ali Kiba ’ akimbwelambwela ’ tu basi impe sapoti sana huyu Binti Mrembo, mwenye Sauti nzuri na mwenye mvuto hadi wa Kimahaba kabisa Ruby.

Tanzania nzima Wanamuziki ni wawili tu kwa Wanaume ni Diamond na kwa Wanawake ni Ruby hutaki subiria Treni ya Mizigo ikiwa inapita jilaze katikati ikukanyage ufe kama siyo ufariki kabisa. Nandy namfananisha na Ali Kiba kwa kuwa Wanamuziki ’ wabovu ’ kabisa kupata kutokea katika Sayari hii ya Dunia na hasa hasa hapa nchini Tanzania.

Nawasilisha.

Umeshakuja na pumba zako, eti Ruby ana mvuto wa kimahaba uko sawa wewe? Mtu ana sura kama panyabuku huo mvuto kautoa wapi:D:D? Halafu kuhusu kuimba Rubby anamzidi Nandy Sauti tu ila Nandy ana nyimbo nzuri kuliko Rubby, ni sawa Alikiba anavyosifiwa kwa sauti but haimaanishi kwamba ndo anamzidi Diamond

Honestly… Wasanii wote hao bila promo la Clouds hamna kitu…

Weupe peeee… Hamna kitu.

Hivi vanessa mdee kumbe amna kitu??..

Sijawahi kumkubali Nandy kimuziki

Tunaomba picha zao kwanza tafadhali, tuanzie kuangalia mvuto wa nje

Wote hawaingii kwa my bad girl Shishi Trump

Hii ACCOUNT mbona leo ina Font tofauti na ile tulioizoea.

Nimeamua kusikiliza ’ Kilio ’ cha Watu wengi wanaompenda, kumfuatilia na kumkubali ’ Kunakotukuka ’ kabisa GENTAMYCINE ’ [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ’ Mimi. Na kuanzia sasa hii ndiyo itakuwa ’ Official Font ’ yangu na ile ya ’ Courier New ’ naachana nayo kimoja. Wafahamishe na wale Wenzako wote ambao huwa hamuachi na hamsikii raha kufungulia JamiiForums na msichungulie na kufuatilia ’ Mwanamume ’ mwenye hii ’ Brand ID ’ nimeandika nini au nimeanzisha ’ Uzi ’ gani.

Weka na picha zao…

Cc: @Mahondaw

Mi Naona Wote Malaya Tu Sema Sina Ela Ningekula Vichwa Kama Kinyozi

Bad G

Bad Girl Shishi…huyu dada ukikaa naye dakika kumi utamuelewa sana,mcheshi na ana vituko vya kukufanya ufurahi kukaa naye,haboi kubwa zaidi ana utu sana yani mkarimu na ndio.mana anafanikiwa sana kwenye biashara zake…

Hanaga roho
mbaya ya ukarimu ni mama huruma sanaUOTE=“chinga one, post: 1703098, member: 37087”]Bad G

Bad Girl Shishi…huyu dada ukikaa naye dakika kumi utamuelewa sana,mcheshi na ana vituko vya kukufanya ufurahi kukaa naye,haboi kubwa zaidi ana utu sana yani mkarimu na ndio.mana anafanikiwa sana kwenye biashara zake…
[/QUOTE]

roho mb

Kapicha tuthaminishe kwanza…

cc @Smart911

I got you Mr: [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Entertainer .

Kumbe wanashindana?

Ruby Alinimaliza Kabisa Alipoimba Mpaka Singeli

Huyo ni dawa yao wote hawezi kushindana nao