Nani ako na 9 minutes?- Utacheka unyambe...

Just saw this and if anybody knows about it ama its authenticity ebu niambie ama ni ukweli ama ni propaganda ya Sonko…sijawai cheka hivo nikiwa sober…

https://www.youtube.com/watch?v=ZC48TppZojs

NIMEACHA POMBE HEHEHHEHEHEHEEHEH

Found that more of stage managed::don find the logic of having a phon in a mortuary, ingikuwa isha ibiwa na hao undertakers

1 Like

Haki ya mama,this challenges the Kenyan “system” on so many levels!;
Kama ni any other country,hauwezi wekwa mortuary until “confirmed” dead by a real doctor.
Ukipata Emergency kama hii you call 999 not Sonko Rescue team and since when were dead people “allowed” to carry valuables into the freezers?..someone tell me hii ni joke!?

talking from experience??

Those “medical mishaps” are more common place hapa kwetu…

Probably because this kind of “mishap” would be totally unacceptable in mzungu land!
We dont treasure life neither value ourselves enough to find this kind of thing disgusting or unacceptable. It reminds me the last time i was in Kenya and nimeshuka kutoka majuu after 4 years away with all the the excitement alafu it was one of them flights that and at 7 AM "mangware" Kenyan time and after kuishi majuu for so long and being used to a system that works like clockwork,guess what we drive into hapo karibu Nyayo Stadium? Some guy commuting to work on a bike amekanyagwa na Ma3 and apart from a few bystanders,na a very uninterested karao,nobody else seems to give a shyte about this guy who even in my untrained eye still has some life left in him and can be helped if there was trained medical assistants in sight. But as far as that kopa and raia are concerned,this dude has already "succumbed"!!! Hiyo jina "succumbed huniwasha when used in the Kenyan context juu a vast majority of people die from being declared dead than from actually succumbiung to their injuries/infections in Kenya and it has to stop! Life is valuable and the only measure of our dignity as human beings directly relates to how well we treat the dying and the vulnerable in our society.Hapo ndio mzungu anatushindia. Anyway , i just imagined of that sight along Langata Road in the context of majuu and it would have been a very different situation! First,the whole road would have been closed in both directions minutes after the first call reached 999 headquaters,there would have been a police traffic inititated plan to divert traffic away from that scene and most importantly,medical assistance in the form of an ambulance ama fire brigade would have been at the scene in less than 20 minutes. But that only happens in countries where all lives are valued as the biggest asset to the country...not in Kenya,..where only wealthy peoples lives are considered an asset.

1 Like

Its n

Its not about the perpetrators of the crime or their reasoning;Its about the amount of time taken by the tax payer funded emergency services to arrive and the quality of aid they provide to sustain life.
But i should know better than to argue with someone who thinks that it is okay for a police chopper to have been inaccessible on a day when Recce squad was needed to save lives and ]yet the people in suits in charge of security got to the scene of crime hours before the trained personnel charged with dealing with this kind of tragedy.
You must think that this acceptable and dont say otherwise…

1 Like

Wewe na hii majuu yako. This is ktalk, K for KENYA.

Tunaweza kubishana hadi sunset lakini theres a good reason wanatuita “third world” hatuko league moja na those developed economies

Mtu wa bike alikanyagwa nyayo stadium ama langata road? Ama hiyo ndege yako ya majuu ilikuwacha Wilson?

1 Like

Labda hio garbage truck ya kabuda ina fly

2 Likes

Sasa hii nyani imetoka shimo gani?
If you have nothing to say don`t say it!..Bitch prisss!!!
Si tulisema usirudi kusoma posts zangu uone kama nitakonda… Tusizoeane kijana…ama ni shemale?

Sasa unataka kunifanya ati sijui mahali nililelewa nairobi?
Hiyo bara bara inaenda Langata na side za Bomas ata ukiwa hapo Nyayo hauwezi iita Langata Road?
Please educate yourself and in the meantime wear protection;the world does not need another fool!
How many cocks did you suck to become a staff member on KTalk anyway? Im only asking because it can`t be from your intellingence;you dimwit!

he he he kabuda kameshika moto,mtu hawezi kuniambia hivo nikiwa moderator na ni nyamaze,Avicii piga mtu msitari ndio ajue hii ktalk sio ya mamake

Barabara inaenda langata na side ya BOMAS huitwa Magadi road. Kama hujui kitu unanyamaza si lazima ujilazimishe. Na pia kuna Google maps

@kabuda wat did u do for that cyclist coz kuwhine ktalk doesn’t count

Nilipatwa na bumbuwazi kwa muda mfupi kisha nikatingisha kichwa kwa kimya (SMHQ) alafu muda si muda fahamu ikanijia na nikakumbuka kwamba nipo Afrika kweli.
Ajali haikingiki na hasa ilipo ni Mola mwenyewe! Lakini binadamu tunaweza jielemisha na tukaweza kujikinga kutokana na ajali kwa kuzifuata sheria za barabarani.
Lakini sokwe watu kama @kalel na @Wakanyama hawasaidii na akili zao duni hazitofaa kwa kukabiliana na upumbavu na kwenye vita dhidi ya upotovu wa akili uliopo na wa-Afrika wengi.

1 Like

So u did nothing

Kama ni wewe ungefanya?