Nani ashawahi kamua hawa

Sisi Kama arsenal Tushawahi kamua
[MEDIA=facebook]20669912712/posts/10156459563607713[/MEDIA]

Arsenal 3-0
But naona draw kwa ubali, ukiona Chelsea na manshit dropping points jua Dio mtindo this weekend.

Hapa hawa mouths wanasumbua lakini mkia lazima tutakamua. 3-1

Betting siku hizi imeamua kunikamua dryfry style ya kina @uwesmeffi na @petermollis. Mpaka nimesare after ilinikamua kwa mkia bila vaseline.