Watu wanaiba sana[ATTACH=full]364266[/ATTACH]
[ATTACH=full]364267[/ATTACH]
Jaba Juice
hii kitu lakini iko na stimu kama ukiveveka au ni maji tu
Bei ya jaba juice ni equivalent to how many bags??? Pia does the price go down time ka hii unapimiwa jaba na gorogoro??
Utamu wa jaba ni kuchew sio kunywa - kym 2021