Naombeni hifadhi,mm mkimbizi toka JF

Ndo naingia leo, naombeni muomgo

sawa tumekuskia, wewe ni ndume au ni jike?
karibu lakini
PS: Muomgo ni nini?

Mihogo ? :oops:

Umekula?

:):)Bado kuna ndugu zangu kweli huku?

Muongozo

https://www.kenyatalk.com/index.php?forums/tanzania_talk/ wenzako wako hapo…

Asanteni sana jirani zangu kwa ushirikiano wenu

Eti mihogo…lol!

Tunasikitika kwa sababu hatuna mihogo ya kuchezea kumpa mgeni.

Miongozo (typing error)

Pita hivi

Tupo wengi jombaa, sisi wakimbizi kutoka jamii forums. Amini usiamini baadhi yetu sisi wakenya wa jf ni wageni humu pia.

Kweli mgeni ila karibu

new villager ha ha haaaaa

Naona ww village Elder hahahaa, na Mumu je,?

seniour villager

Sisi tuliwahi huku karibuni nyoote mjimwage.

Dahh…

Hakuna mizuka huku…

Wakenya wakarimu sana wakimbizi wa jamii forums Tz tupo wengi tu na tumepokelewa vizuri so karibu ndugu.

Mwambie namuita huku chumbani