Eti wanafanya maboresho. Isije kuwa JIWE kawakomalia watoe siri za watu! Kenya tunaomba mtulinde, hapa ni kuwa tunapashana habari nini kinatokea katika nchi zetu kama wazalendo
Acha Wapumzike, tumechoka na ban za Kila siku
[ATTACH=full]185754[/ATTACH]
Ndio raha ya kupiga miguu yote KT kama kawa
Dk 60 hazijaisha tu
Tungetukana mamba, si tungekula wa chuya!
Tusilidharau Dafu tena!
Tulisa akili mkuu, Jf yataka roho ngumu kwa awamu hii
Usitukane mamba kabla ujavuka mto
Usitukane mamba kabla ujavuka mto
Hmm! Tutabanana humuhumu…