Nape anawahadaa Watanzania!

[ATTACH=full]180334[/ATTACH]
Anapiga kura ya ndio halafu kwenye mitandao ya kijamii anadai ametetea na hajasikilizwa kwa kujiweka kwenye kundi la wachache. Siasa mbaya sana, wala usimwamini mwanasiasa hata siku moja.

Sijawahi kumuamini uyo

Huyu sio wa kuaminika tena.

Tumefika hapa tulipo kwasababu yake yeye, anajaribu kutakasa mikono yake lakini kamwe haiwezi kutakata.

Mwongo mwongo huyo

Nitafurahi akifanyiwa hujuma asirudi bungeni ili akili imkae vizuri

wai nape again, anaunafik sana na post zake za kutuchora tu kumbe ht sis tunamchora… wats nape!..

Binafsi nimeziona juhudi zake, kwa nafasi yake amepambana vya kutosha.!

unauma na kupuliza, watakao mhukumu ni wananchi wa jimbo lake 2020 kama akipona kukatwa na chama cha majambazi (CCM)

!
!
Siasa Rahisi Rahisi

Boss wake Lusinde a.k.a kibajaji ndo atamuhukumu mwaka 2020

Usimwamini Mwanaccm yoyote ktk nchi hii, mwanaccm hana tofauti na mbwa unaweza kumfuga na akala mayai ya mifugo yako

Nape anasema amepambana lakini wengi wameshinda japo wachache wamesikilizwa. Hivi ni kweli hao wabunge ni wengi kuliko wakulima wa korosho? Kwa aina na tabia ya wabunge wa chama chake alitegemea wasimame upande wa wananchi na sio upande wa serekali?

Hivi ni kweli Nape hajui karibu nusu ya wabunge wa ccm wameingia bungeni bila ridhaa ya wananchi bali nguvu ya dola na tume ya uchaguzi? Katika mazingira hayo hajui ni ngumu wabunge hao kuwa upnde wa wananchi bali serekali? Nape apambane na hali yake kwani yeye na chama chake wana utamuduni wa kuingia mikataba ya kuumiza wananchi. Yeye anachojifanya yuko upande wa wananchi ni kutingisha kiberiti ili apozwe kwa kupewa uwaziri tena.

Tunakucheki tu halafu tunasema hiiiiiiii!
Nalog off

Huyu katumwa, wapinzani mkae nae kimachali sana. Mbinu zote za kuingilia upinzani zimeshindikana wakamwona mzee wa propaganda ataweza kuwaingilia ili mumsogeza karibu. Mbona anajiamini sana wakati mwenzie wa Zanzibar alijaribu kueleza wananchi ukweli akafukuzwa uanachama.

Nape ni miongoni mwa wabunge wasitambua wajibu wao.

Acheni upotozaji alipiga kura ya bajeti, siyo kura ya kutengua sheria ya korosho,tuko kenya, naona watu walumumba, mmepanda basi mmefika na uwongo wenu

Ajiandae kisaikolojia 2020 ana katwa mapema tu

Nape ni mwanasiasa, na mwanasiasa kazi yake mnaijua… porojo!..

Sijawahi kumuamini mmccm hata mmoja.

Huyu si ndiyo alishadadia kutokuonyeshwa kwa Bunge live tusiwe wepesi wa kusahau.