Napkin babies

Najua @uwesmake na @kush yule mnono ni moja wao na mimi pia na @Mimi Huwa Namwaga Ndanii

Am taking a roll call…

Comment by saying “here i am”

Saidieni mimi malisa research pwana.

Watu walifungwa diapers kama @BBIsiMuhimu mkae mbali

@uwesmake si wa napkins, ni wa mathogoto ya mandizi

Ningesema wewe ni kubaff kama @Sokwe mtu lakini hapo kwa @Mimi Huwa Namwaga Ndanii umeponga. Pewa kyenye unakunywa bill kwangu

Na watu tuli run butt naked all our childhood pale kapedo tukae wapi?

Unasema napkins nasisi tulifungwa matambara

@uwesmake ni wale ata short hawakuwai valishwa… Anavalishwa tu tshirst refu anashinda akikunia uko nje kwa compound

You can actually tell from his behaviour hapa tu kwa kijiji

@uwesmake I have made you famous,but am not making progress with my research.prease comment guys