NASA mnafanya wastage of time hamuwezi kushinda never ever

NASA wanapoteza muda
Mwisho wa yote hawatashinda
mwisho rais ni uhuru kenyata
na naibu wiliam rutto
Jubilee hoyeee
NASA mnajisumbua tu
Raila cannot win election never ever
Kwanza wakenya hatumtaki mtu mwenye urafiki na enemies of democracy like magufui wa tanzania
NASA hizo pesa mnazofanya marudio ya uchaguzi it is better mngeInvest kwa agriculture au biashara mngekua na profit
NASA mnafanya wastage of money hamtoenda ikulu kamwe never ever
Am repeat again raila hatokaa awe presdent popote pale duniani

2 Likes

Haya walijua kitambo ! Their mission is to mess and spoil constitutional progress as much as they can .messingt the incumbent government !

1 Like

Kijana rudi jamii forums uonge siasa za magufuli hatukuhitaji huku

3 Likes

Ubaguzi huo! Kwa nini haitajiki?

1 Like

@gashwin kuja punctuate ii kelele tafazali…

[ATTACH=full]124127[/ATTACH]

hiyo itakuwa kupoteza muda kwa kazi isiyo na faida…

1 Like

Yaa Mosa nyoko amabi unasumbua

1 Like

Unaambia watu kama hawa na hawatakuskia hadi Raila aseme. Wanafikiria Raila ni Mungu…sitashtuka kama wameanza kanisa ya kumuabudu. Hata Jesus akurudi saa hii, hawataenda hadi Raila aseme ni sawa. Don’t bother with them…tulia tu na kura yako. Hawa hata kureason nao ni kupigia mbuzi guitar.

1 Like

Wewe ulisoma kwa graveyard? Hiyo yako ni mbovu zaidi.

Punguza weed, Magufuri ni kiongozi bora, only fools don’t understand that… He fucked up some criminals businesses now u call him a dictactor…

Paying tax is not an option… Hala Magufuri

yeye ni dictator fuck u bitch