Hawa wasichana wetu tutawaoa kweli? Mnaringia maboy ambao ni ma hustler ati juu wameshindwa kuwashughulikia financially. As a result, mnatafuta ma sponsors. Kwani hamjui hao pia walianza tu kama sisi lakini walipata watu wa kuwapea psych ya kuhustle more?. Sasa after mmetumiwa vibaya ndio mnaturudia huku.
Ngoja utaona wakianza kutokea tao na bunners za husband material. Hiyo material mimi sitasave ata bob ndo niinunue
Ngoja utaona wakianza kutokea tao na bunners za husband material. Hiyo material mimi sitasave ata bob ndo niinunue