Nashindwa kulog in kwa KenyaTalk App, Kuna tatizo gani? ni mimi tu nashindwa au na wengine humu?

Habari wana kijiji.

Nashindwa kulog in kwa kutumia Application, nimejaribu ku-uninstall na kuinstall tena ila tatizo limebaki kuwa lilelile

Ni mimi nashindwa peke yangu au na ninyi tatizo lipo kwa upande wenu?

@The Tweet @Sakayo @myoyambendi @innaa @mututho wa kk @Davet

App ni kama haifanyi kazi mkuu ata Mimi nimeshidwa kuitumia…

Mwenyewe haifunguki kabisaaa