NASKIA SHORT PIA WAKIPIGA CZECH ANA WACHEKA!!!!

Hiiyo!!! Game ya man u. Imeisha aje???

haijaisha bado players wa man u wako kwa kiwanja wakitafuta mpira

4 Likes

at least hakuna needless maombolezi na kusaka ma-P3 wiki hiiā€¦

1 Like

Upus

ni poa umechange mind

ku-change mind ya nini? sisi tulikamuliwa na saints jana na tukatulia juu tunajua kisiagi chetu kimechoma mota siku hiziā€¦ni wale wamezoea kuvunja watu ma-jaw na ma-meno we were worried aboutā€¦

1 Like

Niaje gashwin, leo nime enjoy kama poko ana cum. Nilikuwa hood yangu juu ya jameson, ubaya ni mkono bado iko kwa slingā€¦

Utapona tu usijali bora next weekend kikiumana usisukumaneā€¦game huwa hivoā€¦