Natafuta girlfriend kutoka Kenya mimi Mtz

Kama kichwa cha thread kinavyoeleza hapo juu mimi ni mbongo nina miaka 28 I like to have girlfriend from ke umri kuanzia 21 na kuendelea, wasifu zaidi karibu pm.
#Tukuze_jumuiya_yetu

hata picha yako inaonesha wewe ni bongo.
hapana ua rosungu jamaneni

Interested one naomba tuonane pm

I can’t do that bro

Chunga kimakia asikuingize box :D:D:D ama ule shemale

Haaa haaa haaa kumbe Kenya pia kuna shemales mkuu? Niliwaona Bangkok one time

Rudi utokako…

Nirudi wapi mkuu me nataka niwe shemeji yenu acha kunifanyia roho mbaya

chukua @Nefertities roho safi

Ngoja nimjaribu mkuu kama atanifaa natanguliza shukran kwako

@Nefertities naomba uje pm bahati imekudondokea wewe mrembo

@TzFinest Unaifahamu barter trade

Pia mimi naomba dame kutoka tz. Warembo wa huko wanatokea sehemu gani?

Naijua mama, so unataka boy from huku au niwape girl mmoja toka tz?
@Duke of Busia

@Teddy_time Usijali wako wengi tu ukitaka wa pwani ntakupa kutoka tanga, dar au mtwara. Ukitaka weusi waliojazia nyuma ntakupeleka bukoba au mbeya kwa wanyakyusa. Ukataka weupe warefu nakupeleka mbulu manyara huko na singida kwa wanyaturu. Karibu sana tz

Eeeeeish saaaaitan marateng

Hata we ni mrembo ujue. So nipe go ahead nije pm tafadhali

Boss achia hapo.

:D:D:D:D:D

chunisha hii mama sukuma jamani