wapi ware matechnochracts wani save na windows 8 activator . ama link msuri
google KMspico ama nunua original software wacha wizi
angalia torrents utapata
Kuna jamaa aliweka no. yake jana hapa::incase one has such an issue,tafuta yeye
I had read 8.1 aviator.
Damn, someone bring that mama or whatever she was back here.
nna kms, utatoa kakitu ama? ita activate windows na office
Hii kitu ulitoa bure kwa torrents ndio unajaribu kutuuzia hapa? Kwanza hebu…
[ATTACH=full]57645[/ATTACH]
Ujiangalie vizuri na ujiulizwe maswali muhimu kabla ujaribu kututapeli hapa
ii kitu ya keti pale umeitumia sana. inakua monotonous sasa. na kaa unajua inatoka kwa torrents si uendee uko
shukuwa KM :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Sawa. Pokea hii basi…
[ATTACH=full]57648[/ATTACH]
Alafu, Umeona wapi nikiitisha hiyo kitu?
kaa hujaitisha ni nn kua nosy
Kama hukulipishwa kuipokea ni nini kujaribu kutuhadaa? Tokomea mbali. Hapa watu ni kusaidiana. Biashara rudisha facebook
nataka windows okolea
Ndio hiyo umewekewa hapo juu
na unataka activator pia, ama ni kimbele mbele ndo mob!!?
Umeona mahali nimeitisha activator? Ama ni ujinga inakufanya usisome vizuri?
asante sana nimesaidika
nice am sorted
kmspico tafta io