nataka internal hard disk ya lap

niwapi ntaget hard disk 500gb at low price?

endelea kutaka

nakutakia kila la heri ukiendelea kubambana na shida ya akili pungufu inshallah

safi kabisa

niko nayo SATA slim 8k 1TB

Leta 4k
[ATTACH=full]225309[/ATTACH]