Nataka kubadili username

Admin naomba nibadili jina “username” nataka nitumie jina la “Gamba”,hivyo naomba mnibadilishie,natanguliza shukrani zangu

Bonga na @admin kwenye sanduku la ndani…

Ama ndani ya sanduku

Yote sawa

Kapsa…:smiley:

Ama katikati ya sanduku

Wakiingia wote ndani watalivunjilia mbali kabati, chembilecho wasenge

Ndivyo nilitaka Kumaanisha…:D:D

:D:D:D siet

Meanwhile…
[ATTACH=full]184015[/ATTACH]

Kwa lugha ya kwenu inajulikana kama PM (private message)

Lakini ata hii ni sawa bora tu muweze kutoshea ndani.

Ndio hivyo mkuu

Nawashukuru wote kwa ushauri wenu, nimefanikiwa

@admin @Deorro surely dude amekaa hapa for a whole 40 minutes unaitikia his request. I MadPhilosopher mzito wa kijiji for a century nimeshinda nikihangaika requesting /begging you to change my name to LePhilosopher unakata. Ni sawa tu:rolleyes:

Usisononeke ni kawaida mgeni kuoneshwa ukarimu kuliko mwenyeji

MP worry not. I lost my handle Miss Finest Wine during the migration, wrote so many messages to the MoD did not hear a squeak. Nikaenda nikikaukanga. People complained so much about how the migration was conducted, not a word. The min JF arrived…all their requests were met in all of a nanosecond. Ndiyo nilijua hali.

Ama sanduku LA nje