Natural hair compitition, saidia dada yetu ashinde! Click link weka like yako!!

Tumsaidie huyu dada nimekuta ombi lake whatsapp.

Tafadhali click link hii hapa chini itakupeleka kwenye Insta yake na utalike hiyo picha. Ambayo inashiriki mashindano fulani hivi utaona. Cha muhimu ni Like yako. Tafadhali tumsaidie jamani.

[MEDIA=instagram]B1CT3zpB7BY[/MEDIA]

Shula ikam…

[ATTACH=full]253846[/ATTACH]

Na watu hawana nywele kama @Makonika ?

Mashindano ya nini?

There should be a compitition of all the churas. The guitar player,the fisjing frog,the dancing frog…

Na wenye hatuko gram?

Ile ya kofia ndio imeweza.

tuoshwe macho priss alafu tutapiga kura

Pot kettle black :D:D

NO aonyeshe mathayo kwanza… nothing is for free

Hlo ni shndano la natural hair ambapo mshiriki atakayepata likes nyng kwny picha yake ndo anakuwa mshnd naomben sapot yenu ndugu

Majibu hayo toka kwa muhusika. Mimi nimempazia sauti ti.

Shukrani pia!!

Mna

Mnashukuriwa pia!!

wenye wanataka kusafisha mecho

[ATTACH=full]253884[/ATTACH]