Natural water Springs

So leo nimejipata somewhere deep in bukhusu land jua imechoma mimi kuangalia temperature in my galaxy watch inasema ni 29°C but since najua machuom I decide to look for water.
Lap mbili tatu napata na Mtoni (Najua ghasia za bedsitter Paipu can’t relate) the water is super clear clean and sweet.
Hii maji hutoka wapi? Geographical experts kindly educate me.
[ATTACH=full]490572[/ATTACH][ATTACH=full]490573[/ATTACH][ATTACH=full]490574[/ATTACH][ATTACH=full]490575[/ATTACH][ATTACH=full]490576[/ATTACH][ATTACH=full]490577[/ATTACH][ATTACH=full]490578[/ATTACH][ATTACH=full]490579[/ATTACH]

Kumbe we mtu WA bungoma pale ndegelwa

Kula kienyeji dry fry kwa kichaka bila wasi wasi

Springs hutoka underground water reservoirs called aquifers. Huwa hazikauki. Most river sources pia huwa hizi same underground aquifers.

Can the same be said for ‘fossil fuel’.

Zinaweza isha zikikuwa over abstracted. Juu huwa zinakuwa recharged sana sana na percolation kutoka kwa mvua.
So Ikitolewa mingi kuloko ile inaingia inaendelea ikipungua na siku moja inaeza kauka

So huko pukusu kunakaa hivo?

D.O mjinga rudi huko senate,sisi hapana tambua wewe hapa

Your hand has seen better days,zeeka pole pole

Kama za California

Unaweza pata it was constructed in early 1900s. If you go uphill utapata kuna stagnant water somewhere when it rains. Hiyo maji chafu ndio huoshwa na arthi and some bright chap knew where it drained.

Fortified with every pesticide from said village.:smiley:

Panakaa chesamisi.