Birds & bats that die in Lake Natron, Tanzania, become solidified due to large amounts of salt & soda in the waters.
[ATTACH=full]123854[/ATTACH] [ATTACH=full]123855[/ATTACH] [ATTACH=full]123856[/ATTACH] [ATTACH=full]123857[/ATTACH]
Weird Indeed…
Kwani they die perched on those structures? Shouldnt they fall to the ground upon death? Sijasema unadanganya, lakini hio chumvi imekua mingi kama ya Lake Natron.
Wow, this is beautiful. Nature has style
Hizo huwa mummified, mara hiyo hiyo.
Nick Brandt said as much in an e-mail to NBC news: “I unexpectedly found the creatures — all manner of birds and bats — washed up along the shoreline of Lake Natron in Northern Tanzania[…] I took these creatures as I found them on the shoreline, and then placed them in ‘living’ positions, bringing them back to ‘life.'”
Edit: C&P from https://www.themarysue.com/natron-birds/
Ulikuwa unataka uchorwe na ile hippo yenye haikuwa inajulikana ni part gani ya mwili umepiga picha?
Kwani zilikuwa liquid ama gas zikiwa hai?
Huyu jamaa hajui bats hang upside down.
hio kitu hauwezi tofautisha kichwa na tumbo,ama kweli auncle we hula vitu baya
He’s a bottom feeder, kwa estate hakozi ameletea bibi haibu chungu mzima. Mambo ni ku snatch warembo wa vijina wa bodaboda na watchmen.
I have think the photo has been tilted upside down, cheki tumuguu.
:D:D:D
Iko hapa. Na nimekuchokoza.
:D:D
Poacher wewe.
Weka omwami Monday ichangamke
Reminds me of my Favourite Cartoon when growing up, Gargoyles
http://blacknerdproblems.com/wp-content/uploads/2015/12/Gargoyles.png
http://s3.crackedcdn.com/phpimages/article/1/1/6/155116.jpg?v=1
It was the best sijui mbona hawatoa movie
Kweli, it’s long overdue.
Nilikuwa naitazama, one of the best. There was still sunbird series
Sinbad ilikuwa fiti sana