Nauliza GUDUME yupo humu?

jamani Gudume yupo humu? kama yupo alete story zake zenye ladha ya chai kavu manake Jamaa ni bingwa wa chai

hapajui huku

jana nilikutana nae huku ushirombo na kile kichwa chake kama behewa la treni ya wakoloni anauza maparachichi yaliyooza anatumia simu ya OKING ring tune yake n CCM mbele kwa mbelee

Bar zinafunguliwa saa 10,we mbona umewahi sana

:p:p:p:p:p:p:p:p

hapa lumumba tunakunywa hata mchana ndo mana ma picha picha hayaishi kwetu

Mkuu, naona nimekupita pale soko la zamani unapiliza tu…[ATTACH=full]180078[/ATTACH]

hahaa huyo n @Mwifwa sio mimi

Muache mchepuko wangu handsome amekataa kuja huku

Bichwa lake sasa

hey ````nimewamiss `jamani

Sijamuona

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Mlete Kritika basi

aiseeee itabidi nimfatr pm nyumbani

Itakuwa jambo jema sana maana hakuna wa kutuchamba tangu tuje huku ugenini/ukimbizini

nimecheka sana kuchamba ndo imebidi nimkumbukenyie wabaya sana

:cool::p:p:p:p:p:p:p:p

Anhaaa…

Gudume anakuja nimempa taarifa