Nchi ya majuha

Watu na akili zao wanafurika eti kushangilia ndege,wajinga na wapuuzi
Ona mijitu mizima na akili zao. Hata mengi naye yumo, mbuzi mbuzi kabisa taifa hili.

[ATTACH=full]182166[/ATTACH]

waache,usiwaamshe

Hebu someni hapa.
https://www.linkedin.com/feed/update/urn:li:activity:6421520383681404928

Kuna mtu ka-comment hivi:

I think President Megafooly would be more appropriate but as in almost every African Airline Sitcom the “Bling” Syndrome more often than not takes precedent over Common Sense !

Duh! Nilikuwa sijaangalia vizuri hiyo picha. We are officially now a laughing stock

Madikiteita wote wako hivyo… kuwaimpress majuha akijua kuwa anawaonea and what he is doing will not work!
ostentatious: characterized by pretentious or showy display; designed to impress.

Haaaaaahaaaaaaa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] noma hata nauli ya kupanda hyo ndege hawana

http://www.liberatetanzania.com/

Hapo wanaona fahari kuiona live maana hawataweza kuipanda

Simuoni mkewe yule Joyce wowowo hapo!! yuko jikoni nin?

Namuona shekh ubwabwa