Ndani kwenye keja ya boiz

[ATTACH=full]221891[/ATTACH][ATTACH=full]221892[/ATTACH][ATTACH=full]221893[/ATTACH][ATTACH=full]221894[/ATTACH]

Pewa Pet shampoo mbili on my tab you filthy animal!
[ATTACH=full]221895[/ATTACH]

@Tommy Lee Sparta hiyo box…niki sema hapo ni ndaguro yako nita kua nime kosea?

Huyo lazima ni mtu wa kuvuta kiraiko.

Huyu awekwe kwa ile show ya kuoshewa nyumba.

Lakini anapenda tu-avocado sana.

Pombe, sigara, muguka…na fangi obviously…

[SIZE=7]DEPRESSION![/SIZE]

:(He has given up on life…sad

Dem yako akikutembekea ghafla halafu aseme atafagia? Kuweka broom one sweep anatoka na ngotha kaa saba hivi za dem size tafauti tafauti:saitan::saitan::eek:…errr…wueh!

Hio ahame tu haiwes ng’araa

Keja exactly kama yangu

This person needs a girlfriend. There’s no way you can have a girlfriend and be this filthy. In the process of getting a girlfriend he will clean up himself
@ OP kama uliingia kwa hii room hizo nguo zako lazima zilibeba abiria kadhaa

Needs to clean up inside first.

hii ni design ya silicon valley. Ni99a ata make it in like twenty years alafu story itakuwa. . “I started out in a small single” mchamaa atakuwa mbirriyoneya that time

Hawa ndio watu wakifika hapa kwa kijiji ndio ma Billionaire na Alpha Male.

Huyu awe released into the wild. Someone call KWS.

Upuss!

There is always a method to the madness…each has his or her own. Let the guy be.

Mbona unaanika keja ya @Panyaste

Until a cholera outbreak affects the whole tenement.