Ndege ya Dreamliner. Air Tanzania

Hapa ni katika kiwanda cha Boeing Everett. Uundaji wake uko karibu kukamilika na yatarajiwa kutumika kwa safari za moja kwa moja kutoka Julius Nyerere Airport hadi Mumbai kuanzia Agosti

[ATTACH=full]175428[/ATTACH]

Sawa tusuburi

Kitu siku si nyingi kitakuwa kwenye Ardhi ya

Bado more 2 in the making

Vivaaa JPM
Vivaaa Tanzania

Hivi ile Bombadier ilokuwa imepaki Mza Airport kwa matatizo ya kiufundi ilishaondoka?

Hii itatutangaza sana nchi za mbali…

Itapendeza sana…

Cc: @Mahondaw

Kweli japo HD LEO sina Hakika km nitapanda, nyie pande ni mtuletee stories hapa jinsi mlivyostarehe

Chombo kimekula lami

Ningekuwa nasikika ATCL, ningewashauri iwe na route ya kuwapeleka Wangonjwa India, iunganishe kwenda China kuwapeleka wafanyabiashara halafu irudi kupitia India then JNIA

TANZANIA NI NCHI TAJIRI HADI TUNA NDEGE ZETU
Matajiri sisi

Raiti tiraki

Ushauri kuntu huu

Umetumwa au

Tunaipokea lini??