Ndio tunaenda mtaani kulala

Yaaaaawn. Naskia usingizi. Time check 5:28am.

[ATTACH=full]219981[/ATTACH]

huko chini kumekaribia zaidi

Ghasia Kamu nikuchunishe sukuma mkiwa Na ule chairman wenyu Kendez

Hizo trouser umevaa zinakuwanga very cheap.
Na ulisema watu wa ocha ndio hupiga picha na kupost?

Si unisukumie hata kaa ni 20 euros kwa mpesa. Asande

Msee wa ocha indeed. Hio sio trouser ni sweat pants lakini ya label. Sijui Kami unajua designer anaitwa Loro Piana? Eeeh ndio hio baby boy amekuvalia.

Tuma mpesa number inbox. Niko serious and I want u to confirm 2 these takatakas that baby boy is no joke

[ATTACH=full]219984[/ATTACH]

Mimi yangu haijafika

noma sana panyaste

Wenzako wanapost the new Kenyan currency na wewe wasumbua na euro.

:D:D:D:D Modern civilization, hamutaki tupumue ?

Just Downloaded 450MB of Indian Porn, those fools danced till the end

:D:D:D Shait. Good one VC .

wadau naweza nunua wapi headphones with a mouth piece urgent before 2 PM? I know Sundays its a struggle to get open shops this early

Si you call @syndicate ?

@Panyaste ,si ulalaste bila kutusumbuaste!!

Haweziste juu ako na panteste mpyaste.

Inaonekana shift ya leo ka shosh kalidai happy ending.

Yes with a tip of 100EUR,I think this domestic human shampoo cleaning job is rewarding!!!